Matukio mbalimbali yanayotokea kwenye kituo chetu cha Kungwe formation center, kila mwaka tunapokea makundi mbalimbali kwa ajiri ya mafungo na watu binafsi ,na pia tunapokea wanafunzi wa mwaka wa kiroho ambao hukaa kituoni kwa mwaka mzima, wakipata mafundisho mbalimbali na mwisho wa masomo yao huenda sehemu mbalimbali za Tanzania kwa ajiri ya uinjilishaji kwa njia ya matendo na maisha yao.
Yafuatayo ni matukio yanayotokea hapa kituoni:
MAFUNGO YA JAGWANI
Kundi hili hufika kila mwaka hapa kituoni kwetu kwa ajiri ya mafungo ya siku tatu kavu,