Description
Karismatiki Katoliki, tumaini la Kanisa Millennia ya tatu. Imeandikwa na Fr. Pius Shao na Benedikto Mwakyanjala, Kilipigwa chapa 2015. Kurasa 54 A 5. Kitabu hiki kinaeleza kwa kifupi jinsi Karismatiki Katoliki ilivyoanza na ilivyoingia katika Tanzania. Kwa muhtasari, Mapapa wameona Karismatiki Katoliki kama Neema kwa Utume wa Kanisa wa Uinjilishaji, na wakiambia Karismatiki Katoliki kuendelea kufanya hivyo kwa ari moto moto.
Reviews
There are no reviews yet.