Description
Maisha ya Antoni yaliandikwa kwanza na Mt. Atanasi, Patriarka wa Aleksandria. Yalitafsiriwa katika lugha nyingi za nchi mbalimbali na yaliinua hamu kwa Wakristo wengi kutafuta utakatifu. Padri Etienne Sion alichagua sehemu sehemu na kuingiza habari nyingine zilizopatikana na waandishi wa zamani. Tafsiri kwa Kiswahili zilifanywa na Rafaeli Mwinuka na Padri Etienne Sion.
Reviews
There are no reviews yet.